UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 03/09/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 03/09/2013.

[Mikoa ya Mara na  Kagera]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
 [Mkoa wa Mwanza]:
Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Rukwa, Tabora, Shinyanga na Kigoma]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Tanga, Dar Es Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya  Morogoro, Lindi na Mtwara] :
[Mikoa ya Iringa,  Mbeya na Ruvuma]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
25°C               
12°C               
12:33
12:35
D'SALAAM
32°C           
19°C           
12:24
12:22
DODOMA
29°C
13°C
12:38
12:36
KIGOMA    
29°C
18°C
01:02
01:00
MBEYA
26°C
10°C
12:49
12:43
MWANZA
26°C
18°C
12:47
12:49
TABORA
31°C
17°C
12:50
12:48
TANGA
28°C
19°C
12:25
12:23
ZANZIBAR
31°C           
20°C           
12:24
12:22

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kusini kwa Pwani                                                         ya Kaskazini na kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.  
                           
Matazamio kwa siku ya Alhamisi: 05/09/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 03/09/2013.


Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.