UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 30/09/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 30/09/2013.


[Mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza ]:
[Mikoa ya Tabora, Kigoma na  Shinyanga ]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam,  Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Ruvuma, Lindi na Mtwara]:
[Mkoa wa Morogoro]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Iringa, Mbeya na Rukwa]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]: 
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

 
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
27°C               
14°C               
12:20
12:27
D'SALAAM
32°C           
21°C           
12:08
12:17
DODOMA
31°C
18°C
12:22
12:31
KIGOMA    
27°C
19°C
12:46
12:55
MBEYA
28°C
10°C
12:31
12:40
MWANZA
26°C
18°C
12:35
12:41
TABORA
34°C
19°C
12:34
12:43
TANGA
30°C
20°C
12:09
12:18
ZANZIBAR
31°C           
23°C           
12:08
12:17

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani
                                    Yote.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.   
                           
Matazamio kwa siku ya Jumatano: 02/10/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 30/09/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.