UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 05/09/2013.

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 05/09/2013.

[Mikoa ya Mara na  Kagera]:
Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Morogoro, Mtwara, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Rukwa, Tabora, Shinyanga na Kigoma]: [Mikoa ya Mwanza, Iringa,  Lindi, Mbeya na Ruvuma]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Tanga, Dar Es Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
26°C               
10°C               
12:33
12:35
D'SALAAM
33°C           
21°C           
12:24
12:22
DODOMA
29°C
17°C
12:38
12:36
KIGOMA   
31°C
16°C
01:02
01:00
MBEYA
25°C
08°C
12:49
12:43
MWANZA
31°C
16°C
12:47
12:49
TABORA
32°C
18°C
12:50
12:48
TANGA
29°C
21°C
12:25
12:23
ZANZIBAR
31°C           
23°C           
12:24
12:22

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.  
                           
Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 07/09/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 05/09/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.