Video: Mtoto wa miaka 5 arusha ndege, aweka rekodi na kuwa rubani mdogo kuliko wote duniani

Siku chache zilizopita nilikuletea habari ya mtoto wa miaka minane aliyepanda mlima Kilimanjaro ( Mtoto wa miaka minane apanda mlima Kili... thumbnail 1 summary

Siku chache zilizopita nilikuletea habari ya mtoto wa miaka minane aliyepanda mlima Kilimanjaro (
Mtoto wa miaka minane apanda mlima Kilimanjaro) lakini leo nakuletea video ya Kijana mdogo wa miaka mitano ambaye ameushangaza ulimwengu baada ya kuonekana akirusha ndege peke yake.
He Yide (5) ambaye amepewa jina la utani la Duoduo mkazi wa Nanjing China ameweka rekodi ya kuwa rubani mdogo zaidi duniani na sijui kama atatatokea mwingine wa kuvunja rekodi hii.

Duoduo ana miaka mitano na nusu.

Angalia video yake hapa kama ilivyowekwa kwenye youtube