Aina 11 za rangi ambazo pengine hujawahi kuzisikia wala kuziona

1. SARCOLINE Umewahi kuvaa jacketi la ngozi, halafu liwe na rangi hii? "flesh-colored" na ukitupia pamoja na viat... thumbnail 1 summary

1. SARCOLINE

Umewahi kuvaa jacketi la ngozi, halafu liwe na rangi hii? "flesh-colored" na ukitupia pamoja na viatu virefu (kwa wadada) unaonekana mrefu hata kama ni mfupi. rangi inaitwa Sarcoline

2. COQUELICOT

Ni rangi ya chungwa iliyonogeshwa na rangi nyekundu. 

3. SMARAGDINE
Smaragdine hii ni emerald green

4. MIKADO

Hii inaitwa bold yellow.

5. GLAUCOUS

Blue-gray or blue-green

6. WENGE

Kama umefanya shopping ya furniture, utakuwa unaifahamu rangi hii, kitu cha dark brown wood ikinakshiwa na copper kwa mbaaali.

7. FULVOUS

Brownish-yellow feathers.

8. XANADU

Hili jina linatokana na jiji moja huko China, kitu cha gray-green ambayo inapatikana zaidi kwenye mji huo wa XANADU.

9. FALU


10. EBURNEAN

Rangi hii ni kama ya meno ya tembo, yeah najua ukiyaangalia meno ya tembo ni kama meupe lakini kuna hii rangi yenye ka-yellow kwa mbali

11. AMARANTH

Rose-red si tunaifahamu wengi, hii ndo rangi yake, wabunifu na watu wa mapambo jamani mtupie maoni yenu leo nimejaribu kuleta rangi hizi, mwasemaje????

Tabianchi