Airview of Abeid Amani Karume International Airport - Zanzibar

Ni Majengo ya abiria wa uwanja wa Ndege wa Amani Abeid Karume, Zanzibar. Japo halionekani kwenye hii picha, pembezoni ya majengo haya (k... thumbnail 1 summary
Abeid Aman Karume International Airport - Zanzibar
Ni Majengo ya abiria wa uwanja wa Ndege wa Amani Abeid Karume, Zanzibar. Japo halionekani kwenye hii picha, pembezoni ya majengo haya (kulia zaidi kwa picha hii) kuna jengwa jengo jingine kubwa kwa ajili ya kuhudumia wageni wa uwanja huu muhimu kwa sekta ya Utalii visiwani Zanzibar.
pata dondoo zaidi za uwanja huu toka Wikipedia yakiwemo mashirika ya ndege yanayofanya safari kwenye uwanja huu kutokea bara Ulaya.