New Updates: Auric Air yaanzisha safari za ndege kati ya Dar es Salaam-Morogoro (DAR MPAKA MORO)

Shirika la ndege la  Auric Air  limeanzisha safari mpya ya ndegeza kila siku kati ya Dar es Salaam na Morogoro ikiwa ni mipango yake ya ku... thumbnail 1 summary
Shirika la ndege la Auric Air limeanzisha safari mpya ya ndegeza kila siku kati ya Dar es Salaam na Morogoro ikiwa ni mipango yake ya kuwafikia wananchi wengi katika miko mbalimbali Tanzania.

Taarifa iliyotolewa kupitia tovuti ya shirika hilo inaeleza kuwa safari hizo zitaanza Novemba 15 mwaka huu ambapo nauli itakuwa ni dola 100 za kimarekani  kwa safari moja, gharama hizo zikijumuisha gharama zote.

Ratiba ya safari zake itakuwa kama ifuatavyo:-

Itaondoka Dar es Salaam saa 11.15 jioni (17:15 hrs)

Itaondoka Morogoro saaa 12.30 asubuhi (06:30 am)