Tabianchi inampongeza Rais wa awamu ya nne Dr. Jakaya Mrisho Kikwete katika siku yake ya kuzaliwa ambapo tarehe kama ya leo mwaka 1950 alizaliwa
Tunakutakia Afya Njema, Maisha marefu yenye baraka tele na utumishi mwema ili uzidi kuiongoza nchi yetu kwa Amani na Upendo.