Mapigano: Hippo vs. Elephant

Usidhani kila mtu anafurahishwa na tabia yako ya uonevu, anaweza kukuvumilia lakini ikizidi sana lazima akupe ukweli, katika mkasa huu ulio... thumbnail 1 summary
Usidhani kila mtu anafurahishwa na tabia yako ya uonevu, anaweza kukuvumilia lakini ikizidi sana lazima akupe ukweli, katika mkasa huu uliotokea kati ya tembo na kiboko umedhihirisha jambo hilo.
hippo and elephant picture
Photograph by Nicole Cambre/Rex Features
Tembo ambao walivamia mto Chobe huko Botswana, na kufanya yao, waliwakera viboko waliokuwa kwenye mto huo na hivyo kiboko mmoja aliamua kutoka nje kwa lengo la kutoa adabu kwa tembo lakini mambo yakageuka na kumlazimu akimbilie majini kwa usalama wake.

Kiboko alitoka nchi kavu kwa hasira huku akitanua domo lake na kuonyesha meno yake makubwa mbele ya tembo, sasa sijui alifikiria tembo ataogopa! badala yake tembo alimfuata akiwa amejiandaa kwa mapigano. Actually hayakuwa mapigano ila tembo alikuwa anakwenda kutoa kipigo. kiboko huyoooo akakimbilia mtoni.

Sawa tu, wewe nionee tu (nahisi kama kiboko alisema maneno haya)