PICHA 1 LIVE: LEO NI SIKU YA MATEMBEZI YA TEMBO KIMATAIFA JIJINI ARUSHA KUTOKA TANAPA HADI AICC , SASA WATU WANAJIPANGA.

 WANANCHI MBALIMBALI WAKIWA WANAINGIA KWA AJILI YA KUJIPANGA  BAADHI YA WANAFUNZI WAKIWA WANAJIPANGA KWA AJILI YA KUANZA... thumbnail 1 summary

 WANANCHI MBALIMBALI WAKIWA WANAINGIA KWA AJILI YA KUJIPANGA


 BAADHI YA WANAFUNZI WAKIWA WANAJIPANGA KWA AJILI YA KUANZA MATEMBEZI

 BAADHI YA WADAU MBALIMBALI WAKIENDELEA KUJIPANGA
 GARI LA HUDUMA YA KWANZA LIKIWA TAYARI KWA AJILI YA KUTOA HUDUMA WAKATI WA MATEMBEZI
 KUTOKA KULIA NI MR PETER AKIWA ANASALIMIANA NA MUHUSIKA KUTOKA ST.JUDE
 KIKOSI CHA KK SECURITY KIKIWA TAYARI KWA AJILI YA MATEMBEZI YA SIKU YA TEMBO


MR.PETER AKIWA ANAONGEA NA WANAFUNZI WA CHUO CHA MISITU NA WANYAMA PORI MWEKA WANAJUMUIKA NA MATEMBEZI YA TEMBO.

ENDELEA KUFUATILIA TUKIO HILI LA LIVE KUTOKA ARUSHA

PICHA ZOTE NA BLOGS ZA MIKOA