Kuna raha yake katika kupiga picha kama ilivyo katika shughuli nyingine, ukimuona mnenguaji wa Twanga pepeta anavyofuata midundo na kujikunja hivi na vile unaweza kubaini kuwa pamoja na kuwa yuko kazini lakini anaenjoy kile anachokifanya. safi sana!
Hivi ndivyo alivyofanya mpiga picha David Lloyd kutoka New Zealand ambaye ametumia vyema ujuzi wake katika kupiga picha nzuri zitakazokufanya ujione uko hifadhini.
Hivi ndivyo alivyofanya mpiga picha David Lloyd kutoka New Zealand ambaye ametumia vyema ujuzi wake katika kupiga picha nzuri zitakazokufanya ujione uko hifadhini.
Gazelle, katikati ya wazee wa pori, kushoto kulia kuna cheetah utafanyaje zaidi ya kusali sala za mwisho. picha imepigwa Masai Mara, Kenya na David Lloyd
Simba wakionyeshana ubabe
Tai mwenye njaa katika mawindo
Cheetah, kanyanyua mkia juu ili apate balance nzuri wakati wa mchezo wake juu ya gari la watalii, hakuna adobe wala photoshop hapa ni live!
Umewahi kuona ulimi wa twiga, karibu
Sote ni ndugu hakuna haja ya kupigana kila wakati
Buffalo