Picha: Alaine apagawa na kisiwa cha Mbudya (Dar) ‘I love Tanzania. Feels like home’

Si tu Iyanya aliyeipenda Tanzania na kuahidi kurudi tena siku za usoni, bali pia Alaine ambaye maelezo yake yanaonesha kuondoka na kumbukum... thumbnail 1 summary

Si tu Iyanya aliyeipenda Tanzania na kuahidi kurudi tena siku za usoni, bali pia Alaine ambaye maelezo yake yanaonesha kuondoka na kumbukumbu nzuri na upendo mkubwa kwa Tanzania.

8bf4f400406511e38bf722000a1f92f7_7
Muimbaji huyo mcheshi na mrembo, ameshare mfululizo wa picha alizopiga kisiwani Mbudya alikoenda wakati yupo nchini. Katika picha hiyo juu, muimbaji huyo wa Rise in Love, ameandika: This is me on a boat! A what? A boat. A what? A boat. Oh a boat

749459bc3fee11e39ebd22000aaa21ed_7
Had the most amazing day on Mbudya island. Africa is so beautiful,” aliandika kwenye picha hii.

Kwenye picha nyingine ya bahari ya Hindi, Alaine aliandika: Indian Ocean , so beautiful, wow!!! Loved it!!”
0606aaae406611e3a2a322000ab69b6e_7
“Paradise. Africa. So blessed to have seen this with my eyes. #amazingblessings,” aliandika kwenye picha nyingine ya bahari ya Hindi.
Akijibu swali lililoulizwa kwenye miongoni mwa picha hizo alizoziweka kwenye Instagram kama atakuja tena Tanzania, Alaine alijibu: I will. I love it there. I love Tanzania. Feels like home.”
Kwenye picha nyingine, zinaonekana chips kavu, samaki na kaa na ameiandikia: They went and caught fresh fish and lobster and grilled it.. Oh my goodness my taste buds were in heaven. #mbudya #Tanzania #didnteatthefries #wantedfestival.”
6d8e80de406611e39ff222000aa8009c_7

Chanzo: Bongo5