Picha: Hatua kwa hatua mapigano ya simba, mmoja aokolewa na simba jike baada ya kujeruhiwa vibaya

Shuhudia picha za tukio la mapigano makali kati ya simba ambapo simba kijana alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya kubananishwa na simba m... thumbnail 1 summary
Shuhudia picha za tukio la mapigano makali kati ya simba ambapo simba kijana alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya kubananishwa na simba mzee kwa zaidi ya masaa mawwili.

Pamoja na kipigo hicho simba kijana alijitutumua na kujibu mashambulizi kwa kiasi chake lakini mambo yalikuwa magumu sana kwake.

Tazama picha za tukio hili ambalo limetokea huko Afrika Kusini 
Savage: A male lion stands on his back legs and shows his teeth during a vicious fight in Cheetah Plains, South Africa
Simba kijana anaajibu mashambulizi, kwanye mapigano huko Cheetah Plains, South Africa
Agression: The younger male, determined to put up a good fight, stands his ground and roars at his opponent
Ngoma drooo
Pounce: The younger male, who is covered in blood and has numerous deep wounds to his chest launches at the older lion
Face to face: Pamoja na kupata majeraha makubwa simba kijana bado aliendelea kuonyesha ushindani

Baada ya mapigano hayo ya muda mrefu walitokea simba jike wawaili na kumwokoa simba huyo ambaye alikuwa ameshajeruhiwa sana
Keeping watch: Two females arrive but keep their distance just as the older male, right lands another blow on his young opponent
Keeping watch: Sasa hawa simba jike badala ya kuingia kuokoa moja kwa moja, wanageuka watazamaji
The cavalry: Two females from the young lion's pride begin to circle the fighting pair as they wrestle chest to chest
Huruma ikawaingia, wakaanza kuamulia ugomvi
The cavalry: Two females from the young lion's pride begin to circle the fighting pair as they wrestle chest to chest

In need of a hand: The young male, looking tired and on the edge of defeat, cowers at his opponent stands tall
Baada ya kutoa vitisho kadhaa vya kumzuia simba mzee asipigane na simba kijana, simba jike wanaingia kwenye uwanja wa mapambano na kumwashia moto simba mzee.
Involved: One of the females strikes out at the older male, while the other appears to be moments from pouncing

Pick on someone your own size! The three lions outnumber the older male and roar at him in unison
Mpango mzima ni kumchangia huyu jamaa, picha zimepigwa na Justin Glanvill

Defeat: The trio force the male to stand down, although tensions still seem to be high

Calm: In a less frantic photo, the male looks at his young opponent as if to see if he is ok

It's all over: The older lion eventually walks off to a nearby watering hole and takes a drink after his fight
It's all over:  Si mchezo baada ya ugomvi sasa ni kupata maji

Chanzo: Daily Mail, na imetafsiriwa na tabianchi