Picha: Mapigano ya Swala dume

Ni kawaida ya Swala pala wa kiume kupigana hasa wanapotafuta ama kutete himaya yao, swala hawa wa kiume hufanya kazi kubwa ya kuwalinda ... thumbnail 1 summary
Ni kawaida ya Swala pala wa kiume kupigana hasa wanapotafuta ama kutete himaya yao, swala hawa wa kiume hufanya kazi kubwa ya kuwalinda wake zao (kundi kubwa la swala pala wa kike) kwa kuwazunguka swala pala wa kike.

Na hivyo hutumia muda mwingi kuwafukuza swala pala wa kiume wengine ambo wamebalehe na hapo ndio ugomvi mkubwa huibuka. Shuhudia mapigano ya swala pala katika picha huko Masai Mara.

impala-malesimpalaimpalasimpala-fightingimpalas-fightingimpalas-ruttingimpala-rutting