Picha: Mtu na mkewe wasafiri kwa baiskeli kutoka Ulaya hadi Tanzania

WAZUNGU BWANA! Hao wazungu (Wafaransa), Michelle (68 yrs) na mkewe (65) wametoka Ulaya kuja Afrika kusafiri na baiskeli. Hapo wako Bagamoy... thumbnail 1 summary
WAZUNGU BWANA!
Hao wazungu (Wafaransa), Michelle (68 yrs) na mkewe (65) wametoka Ulaya kuja Afrika kusafiri na baiskeli. Hapo wako Bagamoyo wakitokea Afrika Kusini na wanaelekea Arusha kwa baiskeli. Wanasema eti wanataka kuweka historia, Mwafrika gani anaweza kupoteza muda wake hivi? 


Asante Elias Msuya