Picha: Tembo mwenye hasira, amtembezea kichapo kikali mnyama kiboko

Ndo hapa ukisikia kiboko kachwapwa viboko, tembo alieonekana kuwa na hasira amekamatwa kwenye kamera akitoa kipigo cha mbwa mwizi kwa kibo... thumbnail 1 summary
Ndo hapa ukisikia kiboko kachwapwa viboko, tembo alieonekana kuwa na hasira amekamatwa kwenye kamera akitoa kipigo cha mbwa mwizi kwa kiboko.

Kiboko huyo aliyekuwa na mtoto wake pamoja na kiboko mwingine aliingia kwenye 18 za tembo kwenye hifadhi ya Erindi Private Game Park nchini Namibia na kugalagazwa vibaya.

Shuhudia tukio zima katika picha
hippo-and-elephant
hippo-verse-elephanthippo-and-elephant-fightChanzo: Geographic