Treni ya abiria ya mwendo kasi imemgonga tembo na kumuua ambapo ajali hiyo imetokea eneo la msitu wa dooars West Bengali karibu na kijiji cha Mongpong nchini India.
Baada ya tukio hilo wanakijiji wengi walijitokeza kushuhudia mzoga wa tembo huyo, tazama picha zote hapa
Utaratibu wa kuondoa mzoga huo kwenye njia ya treni unafanyika