Picha: Wafahamu ndege wasioruka duniani

Karibu tena kwenye blog yako ya tabianchi na leo hii nimeona nikuletee orodha ya ndege wakubwa sita wasioruka, kimombo wanajulikana kama ‘f... thumbnail 1 summary
Karibu tena kwenye blog yako ya tabianchi na leo hii nimeona nikuletee orodha ya ndege wakubwa sita wasioruka, kimombo wanajulikana kama ‘flightless birds’. Ndege hao ni pamoja na mbuni, emu, cassowary, rhea, kiwi na pengwini


 Mbuni ni ndege wakubwa wa familia Struthionidae lakini hawawezi kuruka angani
 EMU
 PENGUIN
 KIWI
 CASSOWARY
RHEA