Sehemu ya pili: Kiwango cha nauli za mabasi katika kila mkoa Tanzania

(Hii ni huduma mpya kutoka  tabianchi , sasa mtandao huu pia utakuwa ukikuletea taarifa za mambo ya usafiri kwa ujumla wake) Jana nilikul... thumbnail 1 summary
(Hii ni huduma mpya kutoka tabianchi, sasa mtandao huu pia utakuwa ukikuletea taarifa za mambo ya usafiri kwa ujumla wake)

Jana nilikuletea kiwango cha nauli katika mikoa tisa sehemu ya kwanza ya viwango vya nauli za mabasi katika kila mkoa lengo ni kusaidia abiria wanaosafiri kwa kutumia mabasi nchini kuepuka usumbufu unaojitokeza kwenye stendi za mabasi wakati wa kusafiri.

Ili kuondoa usumbufu huo nimeona nikuletee nauli mpya za mabasi katika maeneo mbalimbali ndani na kwenda nje ya mkoa wako