TANAREAP wazindua DVD ya kutangaza Utalii

Mkurugenzi wa Kampuni Bridgerth Tanzania Yon Nada akitoa maelezo ya uandaaji wa DVD hiyo kwa washiriki kutoka makampuni ya utalii na wada... thumbnail 1 summary
IMG_1036
Mkurugenzi wa Kampuni Bridgerth Tanzania Yon Nada akitoa maelezo ya uandaaji wa DVD hiyo kwa washiriki kutoka makampuni ya utalii na wadau wake walioshiriki uzinduzi wa DVD hizo kwenye hoteil ya New Arusha jijini Humo.
IMG_1032
Pichani ni baadhi ya washiriki na meza kuu wakifuatilia maelezo yaliokuwa yakitolea na wadau mbali mbali walioshirikia uzinduzi huo.
IMG_1037
Wafanyakazi wa kampuni ya Bridgerth Tanzania wakionyesha DVD hizo kwa wageni waalikwa kutoka Makampuni mbalimbali ya Utalii na wadau wengine kwenye uzinduzi wa DVD hizo katika Hotel ya New Arusha. (picha zote na Mahmoud Ahmad Arusha)
IMG_1020
Pichani ni juu na chini ni DVD za kutangaza Utalii wa mbuga za wanyama na Utalii wetu hapa nchini zilizozinduliwa kwenye hoteli ya Arusha na muungano wa Tanapa na TTB na wapiga picha kutoka kampuni ya Bridgerth Tanzania inayomilikiwa na wazaliwa wa Japani wanaoishi hapa nchini. (TANAREAP).
DSCF0961
 Chanzo: Moblog