UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 17/10/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 17/10/2013.


[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:

Hali ya mawingu, mvua katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua

[Mikoa ya Tanga, Dar-es-Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Morogoro na Ruvuma]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mkoa wa Mara]:
Hali ya mawingu kiasi,mvua na  ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya  Kagera na Mwanza ]:
Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Iringa,  Mbeya na Rukwa]:
[Mikoa ya Singida, Dodoma  na Kigoma]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Shinyanga na Tabora]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
28°C               
14°C               
12:18
12:24
D'SALAAM
32°C           
22°C           
12:05
12:15
DODOMA
30°C
18°C
12:19
12:28
KIGOMA   
33°C
18°C
12:44
12:52
MBEYA
25°C
12°C
12:28
12:39
MWANZA
31°C
15°C
12:32
12:37
TABORA
32°C
19°C
12:32
12:40
TANGA
31°C
23°C
12:07
12:15
ZANZIBAR
31°C           
24°C           
12:05
12:15

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki kwa
                                       Pwani ya kaskazini na kutoka Mashariki kwa pwani ya kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo .  
                           
Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 19/10/2013: Mabadiliko kidogo.
                                     
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 17/10/2013.


Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.