UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 19/10/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 19/10/2013.


[Mikoa ya Kagera, Mwanza  na Mara]:
[Mkoa wa Kigoma]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua

[Mikoa ya Dar-es-Salaam Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Morogoro, Rukwa na Ruvuma]
[Mikoa ya Singida, Dodoma  na Tabora]:
[Mikoa ya Iringa Mbeya na Shinyanga]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
29°C               
15°C               
12:18
12:24
D'SALAAM
33°C           
20°C           
12:05
12:15
DODOMA
32°C
18°C
12:19
12:28
KIGOMA   
31°C
20°C
12:44
12:52
MBEYA
29°C
15°C
12:28
12:39
MWANZA
30°C
18°C
12:32
12:37
TABORA
34°C
19°C
12:32
12:40
TANGA
31°C
22°C
12:07
12:15
ZANZIBAR
32°C           
22°C           
12:05
12:15

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki kwa
                                       Pwani ya kaskazini na kutoka Mashariki kwa pwani ya kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo .  
                           
Matazamio kwa siku ya Jumatatu: 21/10/2013: Mabadiliko kidogo.
                                     
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 19/10/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.