UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 22/10/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABI... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 22/10/2013.


[Mikoa ya Kagera, Mwanza, Mara na Kigoma]:


Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua
[Mikoa ya Tanga, Dar-es-Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara ]:


Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Ruvuma, Iringa, Mbeya na Rukwa]: [Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]: [Mikoa ya Singida, Shinyanga, na Tabora]:
[Mikoa ya Dodoma na Morogoro]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
29°C
13°C
12:13
12:23
D'SALAAM
33°C
21°C
11:59
12:15
DODOMA
31°C
17°C
12:14
12:29
KIGOMA
31°C
19°C
12:39
12:52
MBEYA
28°C
13°C
12:21
12:39
MWANZA
27°C
18°C
12:28
12:36
TABORA
34°C
19°C
12:27
12:40
TANGA
31°C
22°C
12:02
12:15
ZANZIBAR
31°C
22°C
11:59
12:15

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki kwa
Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo madogo.
Matazamio kwa siku ya Alhamis: 24/10/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 22/10/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.