UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 23/10/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 23/10/2013.


[Mikoa ya Kagera, Mwanza, Mara na Kigoma]:
[Mkoa wa Rukwa

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua
[Mkoa wa Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:


Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]: [Mikoa ya Singida, Shinyanga, na Tabora]:
[Mikoa ya Ruvuma, Iringa  na Mbeya]:
[Mikoa ya Dar-es-Salaam na Pwani]:
 [Mikoa ya Dodoma na Morogoro]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara ]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
31°C               
17°C               
12:13
12:23
D'SALAAM
32°C            
21°C           
11:59
12:15
DODOMA
33°C
18°C
12:14
12:29
KIGOMA   
31°C
21°C
12:39
12:52
MBEYA
30°C
12°C
12:21
12:39
MWANZA
28°C
20°C
12:28
12:36
TABORA
34°C
21°C
12:27
12:40
TANGA
30°C
23°C
12:02
12:15
ZANZIBAR
33°C           
23°C            
11:59
12:15

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa; kwa
                                       Pwani ya Kaskazini na kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi Makubwa kiasi.  
                           
Matazamio kwa siku ya Ijumaa: 25/10/2013: Mabadiliko kidogo.
                                     
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 23/10/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.