UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 26/10/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 26/10/2013.

[Mikoa ya Kagera na Kigoma]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua
[Mikoa ya Mwanza na Mara]:
Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua

[Mkoa ya Dar-es-Salaam, Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Ruvuma na Morogoro]:
[Mikoa ya Iringa na  Mbeya]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Dodoma, Shinyanga, Singida na Tabora]: [Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Rukwa, Lindi na Mtwara]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
29°C                
11°C               
12:13
12:23
D'SALAAM
33°C           
23°C
11:59
12:15
DODOMA
30°C
18°C
12:14
12:29
KIGOMA   
32°C
18°C
12:39
12:52
MBEYA
27°C
11°C
12:21
12:39
MWANZA
30°C
18°C
12:28
12:36
TABORA
33°C
19°C
12:27
12:40
TANGA
31°C
23°C
12:02
12:15
ZANZIBAR
32°C           
24°C           
11:59
12:15


Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya
                                Kaskazini na kutoka Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa  kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi Makubwa kiasi.  
                           
Matazamio kwa siku ya Jumatatu: 28/10/2013: Mabadiliko kidogo.
                                     
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 26/10/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.