UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 30/10/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 30/10/2013.


[Mikoa ya Kagera,  Mwanza na Kigoma]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua
[Mkoa wa Mara]:
Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Tanga]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Dodoma, Shinyanga, Singida na Tabora]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mkoa ya Dar-Es-Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Lindi, Mtwara na Rukwa]:
[Mikoa ya Morogoro na Ruvuma]:
[Mikoa ya Iringa na  Mbeya]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
29°C               
11°C               
12:13
12:23
D'SALAAM
31°C           
20°C
11:59
12:15
DODOMA
31°C
17°C
12:14
12:29
KIGOMA   
28°C
19°C
12:39
12:52
MBEYA
28°C
14°C
12:21
12:39
MWANZA
27°C
18°C
12:28
12:36
TABORA
33°C
18°C
12:27
12:40
TANGA
31°C
22°C
12:02
12:15
ZANZIBAR
32°C           
22°C           
11:59
12:15

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya
                               Kaskazini na kutoka Kaskazini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.  
                           
Matazamio kwa siku ya Ijumaa: 01/11/2013: Mabadiliko kidogo.
                                     
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 30/10/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.