WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA
3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 04/10/2013.
[Mikoa ya Kagera na
Kigoma]:
|
Hali
ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Mara na Mwanza ]:
|
Hali
ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Tanga ,
Dar-Es-Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Ruvuma, Morogoro
na Mtwara]:
[Mikoa ya Iringa, Lindi na
Mbeya]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
Hali
ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Rukwa, Shinyanga
na Tabora ]:
[Mikoa ya Dodoma na
Singida]:
|
Hali
ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA
NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
27°C
|
15°C
|
12:20
|
12:27
|
D'SALAAM
|
31°C
|
21°C
|
12:08
|
12:17
|
DODOMA
|
27°C
|
17°C
|
12:22
|
12:31
|
KIGOMA
|
29°C
|
20°C
|
12:46
|
12:55
|
MBEYA
|
24°C
|
14°C
|
12:31
|
12:40
|
MWANZA
|
28°C
|
20°C
|
12:35
|
12:41
|
TABORA
|
31°C
|
19°C
|
12:34
|
12:43
|
TANGA |
30°C
|
22°C
|
12:09
|
12:18
|
ZANZIBAR
|
32°C
|
23°C
|
12:08
|
12:17
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi
ya km 30 kwa saa kwa Pwani
Yote.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.
Matazamio kwa siku ya Jumapili:
06/10/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 04/10/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.