UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 06/10/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 06/10/2013.


[Mkoa wa Kagera]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Tanga , Dar-Es-Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Morogoro, Iringa na Mbeya]:]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Mara na Mwanza ]:

Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Rukwa, Kigoma na Shinyanga]:
[Mikoa ya Tabora, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Ruvuma, Lindi na Mtwara]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
26°C               
15°C               
12:20
12:27
D'SALAAM
32°C           
22°C           
12:08
12:17
DODOMA
28°C
17°C
12:22
12:31
KIGOMA    
30°C
20°C
12:46
12:55
MBEYA
26°C
13°C
12:31
12:40
MWANZA
30°C
19°C
12:35
12:41
TABORA
31°C
19°C
12:34
12:43
TANGA
30°C
23°C
12:09
12:18
ZANZIBAR
30°C           
24°C           
12:08
12:17

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani
                                     ya Kaskazini na kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.  
                           
Matazamio kwa siku ya Jumanne: 08/10/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 06/10/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.