VIONGOZI WA VYAMA VYA UKOMBOZI AFRIKA WATEMBELEA CHUO CHA IHEMI

Katibu Mkuu wa Chama cha Swapo akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutembelea eneo la chuo cha Ihemi na kuisifu sana Tanzania kw... thumbnail 1 summary
2w_1a39a.jpg
Katibu Mkuu wa Chama cha Swapo akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutembelea eneo la chuo cha Ihemi na kuisifu sana Tanzania kwa mchango wake mkubwa wa kulikomboa bara la afrika.
3w_b95ee.jpg
Katibu wa NEC itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwaonyesha Viongozi wa Vyama vya Ukombozi Afrika uzuri na ukubwa wa eneo la chuo cha ihemi ambapo kitajengwa chuo kikubwa cha Viongozi Vijana

4w_450da.jpg
Mratibu wa Chuo cha ihemi Ndugu Lucas Kisasa akimfafanulia jambo kuhusu chuo cha Ihemi naibu waziri katika Idara ya Kimataifa wa chama rafiki cha kikomunisti cha China ndugu Ai Ping
5w_711eb.jpg
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (katikati) akizungmza na Billy Masetlha na Obed Bapela kutoka chama cha ANC cha Afrika Kusini wakati wa ziara yao kwenye chuo cha Ihemi mkoani Iringa