Warsha ya mafunzo kwa wataalam wa maswala ya tabia nchi yaendelea jijini Arusha

Profesa Jamidu Katima wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam (aliesimama) akitoa elimu kwa wataalamu kuhusu madawa yanayokaa ardhini kwa mud... thumbnail 1 summary
Profesa Jamidu Katima wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam (aliesimama) akitoa elimu kwa wataalamu kuhusu madawa yanayokaa ardhini kwa muda mrefu,katika siku ya pili ya Warsha ya mafunzo hayo kwa wataalam mbali mbali wa maswala ya tabia nchi,inayoendelea mjini Arusha.
Baadhi ya waataalam washiriki wa warsha wakimsiliza Profesa katika mafunzo hayo. Picha na Evelyn Mkokoi (Arusha)