Auric Air yapunguza tena nauli za ndege kwa safari zake kati ya Dar es Salaam na Morogoro

Auric Air wameendelea kurahisisha usafiri wa ndege kwenda Morogoro baada ya kupunguza tena nauli zake kwa safari za Dar es Salaam na Moro... thumbnail 1 summary

Auric Air wameendelea kurahisisha usafiri wa ndege kwenda Morogoro baada ya kupunguza tena nauli zake kwa safari za Dar es Salaam na Morogoro. Kupitia tovuti yao auric wameandika kuwa "The flight from Dar Es Salaam to Morogoro costs Tshs 88,000 + 11,000 taxes = Tshs 99,000 one way"