LAKE NGOZI (ZIWA NGOZI) NA SIMULIZI ZA AJABU

  Ziwa hili liko Mkoa wa Mbeya kwenye milima ya Uporoto,ukiwa una toka Mbeya una shuka kituo kina itwa nymbe one alafu una tembea kilom... thumbnail 1 summary
Photo: LAKE NGOZI (ZIWA NGOZI) NA SIMULIZI ZA AJABU

Ziwa hili liko Mkoa wa Mbeya kwenye milima ya Uporoto,ukiwa una toka Mbeya una shuka kituo kina itwa nymbe one alafu una tembea kilomita 12 ili kufika ziwani .Ziwa ngozi linatajwa kuwa ni ziwa la pili kwa ukubwa katika maziwa yanayopatikana kwenye kreta Afrika.

ziwa hilo lina ingiza tu maji na hali toi maji kwa sababu liko katikati ya milima alafu halina ufukwe kwani ukiwa ukingoni kabisa uka jalibu kupima kina kuna urefu na haujulikani ni mita ngapi kwenda chini kwa hivyo huwezi kuogelea kwenye ziwa hilo.

Inasemekana chanzo cha ziwa hilo ni mlipuko wa volcano ambayo ilitangulia hapo na baadae kufuatia na iliotokea na kusababisha mlima Rungwe.

Wenyeji wanalihusisha ziwa hili na imani za kishirikina.
Wanadai lilipigwa mawe na likahamishwa kutoka Masoko Tukuyu na kwenda kujikita Uporoto.

Ni tourist attraction, wenyeji wanaamini ukiwa ufukweni usiongee kinyakyusa kwa kuwa kwa imani zao ni kwamba lilifukuzwa toka huko. Kwa hiyo halipendi kusikia kinyakyusa

NIVYEMA TUKALITANGAZA MAANA NI KIVUTIO KIKUBWA CHA UTALII NA KIKAWA CHANZO KIKUBWA CHA MAPATO. 

CHANZO: MALIASILI ZETU