Mtalii
na blogger Ian Sailsburg ametuma picha zikionyesha tukio ambalo ni adimu sana
kuliona unapokuwa umetembelea hifadhi mbalimbali za wanyamapori.
Ni
tukio la mamba aliyekamata mkonga au pua ya tembo kwa lengo la
kujipatia kitoweo lakini mambo yalikuwa tofauti. shuhudia tukio hilo
zima kupitia picha hapo chini zilizopigwa Mfuwe, Zambia