NDEGE YA MASHABIKI WA CSKA YALAZIMIKA KUTUA DENMARK!

NDEGE ya Kampuni ya Easyjet iliyokuwa ikisafiri kutoka Moscow kwenda Manchester ililazimika kutua Copenhagen, Denmark ili kuwashusha Mashab... thumbnail 1 summary
NDEGE ya Kampuni ya Easyjet iliyokuwa ikisafiri kutoka Moscow kwenda Manchester ililazimikakutua Copenhagen, Denmark ili kuwashusha Mashabiki 7 wa CSKA Moscow ambao walikuwa wamelewa kupindukia.
Mashabiki hao wa CSKA Moscow walikuwa wakisafiri Jumapili kwenda Jijini Manchester kushuhdia Timu yao ikicheza na Manchester City leo Jumanne Usiku katika Mechi ya Kundi D la UCL, UEFA CHAMPIONZ LIGI.
Chanzo: SokaInBongo