Nyimbo 6 za mastaa wa Ulaya, Amerika, Afrika ambazo ndani wameitaja Tanzania

Inakera pale unapokutana na waafrika wanafiki kutoka nchi kama Nigeria na nyinginezo wanaposema hawaijui Tanzania, lakini hat... thumbnail 1 summary

Inakera pale unapokutana na waafrika wanafiki kutoka nchi kama Nigeria na nyinginezo wanaposema hawaijui Tanzania, lakini hata hivyo watu wenye mapenzi mema ama waliowahi kuja Tanzania ama kupata simulizi nzuri za utajiri wa maliasili bila kujali kuwa wanatoka katika nchi za ulaya na amerika wamefanya mengi kuonyesha kuwa wanaitambua nchi hii.

Wanamuziki mashuhuri ulimwenguni kama Jay-Z, Lloyd Banks, Talib Kweli na 2 Chains wote wamewahi kuitaja Tanzania kwenye ngoma zao. Zisikilize hapa ama soma mashairi walimoitaja.

Jay Z – Oh My God
Out in Nigeria, do you have any idea
Sold out shows out in Seoul, Korea
Jo’burg, Dublin, Tanzania


Lloyd Banks (Ft. Lloyd) – Any Girl

I’m a millionaire
Got a show hopping out of the lair in Tanzania,
You ain’t getting nothing you ain’t

2 Chainz – Flossin

Call my girl from Tanzania
And yeah I got the porsche she said I’m on ‘em and it’s me You niggers park

Talib Kweli ft. Madlib – Over The Counter
Trying to get to Egypt for the pyramids in Giza
Got me tripping like Cameron Diaz in Tanzania

Canibus – Poet Laureate
So the longer they resist me the stronger I feel
Spread the ganglia from Tanzania
To the flats of

Black Star (Ft. Talib Kweli & Yasiin Bey) – Brown Skin Lady
I know women on the continent got it
Nigeria, and Ghana, you know they got it
Tanzania, Namibia


Chanzo: Bongo5