OKOA MAISHA YA WANYAMA KWA KUKABILIANA NA UJANGILI.

  Wito unatolewa kwa wananchi hususan wanaoishi karibu na Hifadhi za Taifa,Mapori ya Akiba na Maeneo Tengefu kusaidiana na wahifadhi ... thumbnail 1 summary
Photo: OKOA MAISHA YA WANYAMA KWA KUKABILIANA NA UJANGILI.

Wito unatolewa kwa wananchi hususan wanaoishi karibu na Hifadhi za Taifa,Mapori ya Akiba na Maeneo Tengefu kusaidiana na wahifadhi katika kulinda,kutunza na kuhifadhi wanyama wetu kwa kutoa taarifa mara kwa mara wanapoona watu wanaohujumu maliasili zetu.Uporaji wa meno ya Tembo na biashara haramu ya wanyamapori na mzao yake,pamoja na uvamizi wa mifugo katika maeneo yaliyohifadhiwa ni jambo linaloumiza vichwa vya wazalendo wa nchi yetu.

Kukosekana kwa uzalendo wa baadhi ya Watanzania kunaweza kukapelekea kumalizika kwa mazao yanayotokana na wanyama mbali mbali hususan Tembo na hivyo kupotea kwa spish hizo na kubakia na historia kwamba hapo zamani za kale ilikuwa Eden ya wanyamapori wazuri,wakubwa na wa kila aina.

Pichani ni moja ya mitego ya waya iliyotegwa na majangili iliweza kumnasa simba lakini simba huyo ailifanikiwa kuing'oa na kuondoka nayo lakini mdhala aliyopatikana nayo yalikua makubwa sana.
TUSHIRIKIANE KUWALINDA WANYAMA NA KUYALINDA MAZINGIRA. 

kWA HISANI YA MALIASILI ZETU