Kutana na ndege za fastjet! Hapa zimepigwa
picha kwenye uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam mapema
wiki hii. Ndege tatu aina ya Airbus A319 zina umwezo wa kusafiri
umbali mkubwa na pia zinasafiri kuelekea vituo vinne hapa Tanzania na
Kimataifa zinapaa kwenda Afrika ya Kusini.