Picha: Waandishi wa habari kutoka Tanzania na Kenya katika ziara ya utalii kwenye mapango ya 'Wonder Caves' Afrika Kusini

Muongozaji wa Wataalii,Marinus Hurter akitoa maelezo kwa baadhi ya waandishi wa habari kutoka nchi za Tanzania na Kenya waliofanya zi... thumbnail 1 summary
Muongozaji wa Wataalii,Marinus Hurter akitoa maelezo kwa baadhi ya waandishi wa habari kutoka nchi za Tanzania na Kenya waliofanya ziara kwenye mapango ya Cradle of Humankind and Wonder, yaliopo katika mji wa Gauteng nje kidogo ya Jiji la Johannesburg Afrika Kusini. Waandishi hao wapo nchini Afrika kusini kwa ziara ya wiki moja kwa hisani ya Bodi ya Utalii ya Afrika Kusini.
Maelezo kuhusiana na historia ya Mapango hayo.
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka nchi za Tanzania na Kenya wakifanya ziara kwenye mapango ya Cradle of Humankind and Wonder, yaliopo jijini Johannesburg,Afrika Kusini mapema leo asubuhi.
Sehemu ya Mabaki ya Reli yaliopo ndani Mapango hayo,yakikadiriwa kuwepo kwa zaidi ya miaka 100. 
Moja ya nondo iliyokuwa ikitumiwa na watu wa zamani ndani ya Mapango hayo,ikiwa ni sehemu ya kutimba Mawe ya Chokaa.Waandishi hao wapo nchini Afrika kusini kwa ziara ya wiki moja kwa hisani ya Bodi ya Utalii ya Afrika Kusini.
 Muonekano wa vivutio mbali mbali ndani ya Mapango hayo. 
 Waandishi wa Habari waliopo kwenye ziara hiyo wakiendelea kupatiwa Maelezo.
 Baada ya ziara ndefu ndani ya Mapango ya Cradle of Humankind and Wonder.
Muongoza Watalii,Marinus Hurter (kati) na kulia ni Mdau Anganile na Othman Michuzi.
 Hii ni sehemu ya njia ya kuingia ndani ya Mapango hayo.

CHANZO MICHUZI MATUKIO