UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 01/11/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 01/11/2013.


[Mikoa ya Kagera,  Mara, Mwanza na Kigoma]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua
[Mikoa ya Tanga, Dar-Es-Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Lindi  na Mtwara]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Dodoma, Shinyanga, Singida na Tabora]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Morogoro,  Rukwa na Ruvuma]:
[Mikoa ya Iringa na  Mbeya]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
31°C               
14°C               
12:13
12:22
D'SALAAM
32°C           
22°C
11:58
12:15
DODOMA
33°C
18°C
12:13
12:29
KIGOMA   
30°C
21°C
12:38
12:51
MBEYA
32°C
13°C
12:18
12:41
MWANZA
28°C
18°C
12:28
12:35
TABORA
34°C
18°C
12:26
12:39
TANGA
32°C
23°C
12:01
12:14
ZANZIBAR
31°C           
22°C           
11:58
12:15

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa; kutoka Mashariki kwa Pwani ya
                               Kaskazini na kutoka Kaskazini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.  
                           
Matazamio kwa siku ya Jumapili: 03/11/2013: Ongezeko la mvua kwa Pwani ya Kaskazini katika siku
                                                                               mbili zijazo.
                                     
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 01/11/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.