UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 1211/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI Y... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 1211/2013.

[Mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza ]:
[Mikoa ya Kigoma na Rukwa]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua .

[Mkoa wa Ruvuma]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi i vya jua.[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Tanga, Dar-Es-Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Dodoma,na Morogoro]:
[Mikoa ya Tabora, Shinyanga na Singida]: [Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
[Mikoa ya Iringa na Mbeya]:


Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
30°C
13°C
12:13
12:24
D'SALAAM
32°C
22°C
11:57
12:18
DODOMA
32°C
19°C
12:12
12:31
KIGOMA
26°C
19°C
12:37
12:54
MBEYA
29°C
14°C
12:17
12:44
MWANZA
25°C
19°C
12:28
12:37
TABORA
34°C
19°C
12:25
12:42
TANGA
32°C
23°C
12:00
12:17
ZANZIBAR
31°C
24°C
11:57
12:18

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani
Yote.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.
Matazamio kwa siku ya Alhamis: 14/11/2013: Mabadiliko kidogo
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 12/11/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.