UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 14/11/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTA... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz


UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 14/11/2013.

[Mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza ]:
[Mkoa ya Kigoma ]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[ Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Tanga]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Iringa, Rukwa, Ruvuma na Mbeya]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Tabora, Shinyanga na Singida]:
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Dodoma,na Morogoro]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:



Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
29°C
18°C
12:13
12:24
D'SALAAM
33°C
22°C
11:57
12:18
DODOMA
33°C
20°C
12:12
12:31
KIGOMA
29°C
21°C
12:37
12:54
MBEYA
29°C
16°C
12:17
12:44
MWANZA
27°C
19°C
12:28
12:37
TABORA
35°C
21°C
12:25
12:42
TANGA
31°C
22°C
12:00
12:17
ZANZIBAR
32°C
23°C
11:57
12:18

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani
yote.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.
Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 16/11/2013: Mabadiliko kidogo
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 14/11/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.