UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 15/11/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz


UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 15/11/2013.

[Mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza ]:
[Mkoa wa Kigoma ]:



Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.


[Mikoa ya Dar-Es-Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Morogoro na Tanga]:
[ Visiwa vya Unguja na Pemba]:



Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:


Hali ya mawingu na mvua katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.

[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Tabora, Shinyanga na Singida]:
[Mikoa ya Iringa, Rukwa na Mbeya]:
[Mikoa ya Dodoma na Ruvuma]:




Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
29°C
14°C
12:13
12:24
D'SALAAM
33°C
24°C
11:57
12:18
DODOMA
31°C
18°C
12:12
12:31
KIGOMA
26°C
20°C
12:37
12:54
MBEYA
28°C
14°C
12:17
12:44
MWANZA
29°C
19°C
12:28
12:37
TABORA
34°C
20°C
12:25
12:42
TANGA
31°C
23°C
12:00
12:17
ZANZIBAR
31°C
24°C
11:57
12:18

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani
yote.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.
Matazamio kwa siku ya Jumapili: 17/11/2013: Mabadiliko kidogo
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 15/11/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.