UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 04/11/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 04/11/2013.

[Mikoa ya Kagera na Kigoma]:

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya Mara, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Tanga, Dar-Es-Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro  na Manyara]:
[Morogoro kaskazini]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Ruvuma, Lindi  na Mtwara]:
[Mikoa ya Iringa na  Mbeya]:
[Morogoro kusini]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Rukwa na Tabora]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
28°C               
17°C               
12:13
12:22
D'SALAAM
32°C           
24°C
11:58
12:15
DODOMA
32°C
19°C
12:13
12:29
KIGOMA   
27°C
20°C
12:38
12:51
MBEYA
29°C
15°C
12:18
12:41
MWANZA
30°C
20°C
12:28
12:35
TABORA
34°C
21°C
12:26
12:39
TANGA
30°C
24°C
12:01
12:14
ZANZIBAR
30°C           
24°C           
11:58
12:15

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kutoka Kusini kwa Pwani
ya Kaskazini na kutoka Kusini- Mashariki kwa pwani ya Kusini.                            

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.  
                           
Matazamio kwa siku ya Jumatano: 06/11/2013: Mabadiliko kidogo                                                                
                                     
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 04/11/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.