UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 05/11/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 05/11/2013.


[Mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza ]:
[Mikoa ya Kigoma,  Rukwa na Shinyanga]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam  na Pwani]:
[Mikoa ya Tanga na  Morogoro]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu, mvua katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya Lindi  na Mtwara]:
[Mikoa ya Iringa na  Mbeya]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Ruvuma na Tabora]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
28°C               
17°C               
12:13
12:22
D'SALAAM
31°C           
24°C
11:58
12:15
DODOMA
31°C
18°C
12:13
12:29
KIGOMA   
26°C
20°C
12:38
12:51
MBEYA
27°C
13°C
12:18
12:41
MWANZA
30°C
20°C
12:28
12:35
TABORA
33°C
21°C
12:26
12:39
TANGA
29°C
24°C
12:01
12:14
ZANZIBAR
30°C           
24°C           
11:58
12:15

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani
                               yote.                            

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.  
                           
Matazamio kwa siku ya Alhamisi: 07/11/2013: Mabadiliko kidogo                                                                
                                     
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 05/11/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.