UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 07/11/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 07/11/2013.


[Mikoa ya Kigoma, Rukwa, Shinyanga na Tabora]:
[Mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza ]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam  Pwani na Tanga]:
[Mkoa wa Morogoro (Kaskazini)]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya mawingu na mvua katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua katika nyepesi katika maeneo machache na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya Ruvuma, Lindi  na Mtwara]:
[Mkoa wa Morogoro (Kusini)]:
[Mikoa ya Iringa na  Mbeya]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
22°C               
14°C               
12:13
12:22
D'SALAAM
33°C           
22°C
11:58
12:15
DODOMA
31°C
18°C
12:13
12:29
KIGOMA   
28°C
20°C
12:38
12:51
MBEYA
24°C
14°C
12:18
12:41
MWANZA
25°C
17°C
12:28
12:35
TABORA
30°C
21°C
12:26
12:39
TANGA
28°C
22°C
12:01
12:14
ZANZIBAR
30°C           
23°C           
11:58
12:15

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa kutoka Kusini-mashariki kwa Pwani ya
                               Kaskazini na kutoka Mashariki kwa  Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.  
                           
Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 09/11/2013: Mabadiliko kidogo                                                                 
                                     
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 07/11/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.