Very Hot: Oprah Winfrey apost neno la kiswahili kwenye akaunti yake ya twitter.

Neno moja tu la kiswahili aliloliandika Oprah Winfrey kwenye akaunti yake ya twitter, kiswahili kinakua na kinazidi kupendwa ndani na nje ... thumbnail 1 summary
 Chai ready for #supersoulsunday with @realrobbell . Tweet Fest! http://t.co/cimb2yV039