Kwenye simulizi za zamani tulikuwa tukiambiwa..wanyama wakaishi kwa raha mstarehe, sasa ndo kilichojili huko Monduli.
Viumbe kama Samaki, Mamba na Baadhi ya wanyama kama Mbwa, Ng'ombe ndio mahili kwa kuogelea.. Lakini hatujawahi kufikiria kama kuna huyu mnyama anayeitwa Twiga kuwa anauwezo mkubwa wa kuogelea pengine zaidi ya hao waliotajwa hapo juu.
Kwa umakini mtazame Twiga huyu
Twiga huyu akipiga mbizi kwa madaha
Bila wasiwasi huku maji yakumchuruzika mnyama huyu mrefu ... akiwa anaendelea kuogelea kama kawaida
Hapa Twiga huyu amemaliza zake kuogelea
Twiga huyo mwenye urefu wa Futi 6 akiwa na miaka mitatu mwaka Jana na atakapokuwa na miaka sita atakuwa na Futi 18
Hapa amemaliza zake sasa anatoka ndani ya maji
Hapa anamalizikia anaondoka
Huyo sasa anakula zake majani ..... Kesho tena atarudi tena kula maraha.....