Fastjet yatoa zawadi kwa abiria wake aliyesafiri mara 94 ndani ya muda mfupi

Kama ishara ya kutambua mchango wake kwa kusafiri mara 94 ndani ya wiki 24, Fastjet imempatia zawadi Mr. Heavenlight Kavishe ya maua na... thumbnail 1 summary
Kama ishara ya kutambua mchango wake kwa kusafiri mara 94 ndani ya wiki 24, Fastjet imempatia zawadi Mr. Heavenlight Kavishe ya maua na tiketi ya bure ya kwenda na kurudi katika vituo viwili ambako ndege hiyo hufanya safari zake.