MABADILIKO YA ANUANI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

Wizara ya Maliasili na Utalii inapenda kuufahamisha umma kuwa anuani yake imebadilika. Hivyo kuanzia sasa mawasiliano yote ya kiofisi ya... thumbnail 1 summary
Wizara ya Maliasili na Utalii inapenda kuufahamisha umma kuwa anuani yake imebadilika. Hivyo kuanzia sasa mawasiliano yote ya kiofisi yafanyike kwa kutumia anuani ifuatayo:-
WIZARA YA MALIASILI NA UTALII
JENGO LA MPINGO
40 BARABARA YA JULIUS NYERERE
11404 - DAR ES SALAAM
Anuani hii inachukua nafasi ya Sanduku la Posta 9372, Dar es Salaam.
Limetolewa na:-
Katibu Mkuu
Wizara ya Maliasili na Utalii
Barua pepe; ps@mnrt.go.tz
22 JULAI, 2014