MJI WA MAKAMBAKO UNASTAHILI KUPONGEZWA KWA KUTOA HUDUMA YA CHOO BURE KWA WASAFIRI

Sehemu iliyotengwa kwa ajili ya wasafiri kupata huduma ya choo bure ili kuzuia uharibifu wa mazingira katika mji wa Makambako. Hii ni m... thumbnail 1 summary
Sehemu iliyotengwa kwa ajili ya wasafiri kupata huduma ya choo bure ili kuzuia uharibifu wa mazingira katika mji wa Makambako. Hii ni mbinu inayostahili kuigwa na miji yote hapa nchini Tanzania